[caption id="attachment_51413" align="aligncenter" width="750"] Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia katika Hafla ya Ufunguzi wa Mkutano wa Mawaziri wa Kazi na Ajira, Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC), uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere(JNICC), Jijini Dar es Salaam, Tanzania.[/caption] [caption id="attachment_51414" align="aligncenter" width="750"] Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akikata utepe kufungua program ya Mafunzo kwa vitendo wahitimu, iliyozinduliwa leo na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Mkutano wa Mawaziri wa Kazi na Ajira Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC), uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere(JNICC), Jijini Dar es Salaam, Tanzania.[/caption] [caption id="attachment_51415" align="aligncenter" width="750"] Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, Katibu Mtendaji wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), Dkt. Stergomena Tax, Waziri wa Kazi, Uwezeshaji Wazee, Vijana Wanawake na Watoto kutoka Zanzibar, Maudline Cyrus Castico wakiteta jambo baada ya Ufunguzi wa Mkutano wa Mawaziri wa Kazi na Ajira, Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC), uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere(JNICC), Jijini Dar es Salaam, Tanzania.[/caption] [caption id="attachment_51417" align="aligncenter" width="750"] Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwakabidhi vyeti wahitimu wa mafunzo ya uzoefu kazini waliokuwa wakijitolea katika Taasisi mbalimbali mara baada ya kuzindua programu hiyo ambayo inatekelezwa na Serikali ya Tanzania kwa lengo la kukuza ujuzi wa vijana.[/caption] [caption id="attachment_51418" align="aligncenter" width="750"] Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa ameshika tuzo tayari kwa kuwakabidhi baadhi ya Taasisi ambazo zimekuwa zikitoa nafasi kwa wahitimu kupata mafunzo ya uzoefu kazini, ambayo leo imezinduliwa katika Ufunguzi wa Mkutano wa Mawaziri wa Kazi na Ajira, Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC), uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere(JNICC), Jijini Dar es Salaam, Tanzania.[/caption] [caption id="attachment_51419" align="aligncenter" width="750"] Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimkabidhi Mwakilishi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Tanzania Breweries Limited (TBL) kwa kuwa Taasisi inayochukua wahitimu wengi kwenye programu ya mafunzo ya uzoefu kazini(Ineternship) mara baada ya kuzindua rasmi Programu hiyo ambayo inatekelezwa na Serikali ya Tanzania kwa lengo la kukuza ujuzi wa vijana.[/caption] [caption id="attachment_51420" align="aligncenter" width="750"] Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa ameshikilia tuzo ya Benki ya NMB tayari kuikabidhi benki hiyo baada ya kutambuliwa kuwa Taasisi inayochukua wanafunzi wengi wanaomaliza vyuo na kuwapa mafunzo ya uzoefu kazini (Ineternship), mara baada ya kuzindua rasmi Programu hiyo ambayo inatekelezwa na Serikali ya Tanzania kwa lengo la kukuza ujuzi wa vijana, kulia ni Waziri wa Kazi, Uwezeshaji Wazee, Vijana Wanawake na Watoto kutoka Zanzibar, Maudline Cyrus Castico na kushoto ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Wenyeulemavu, Jenista Mhagama.[/caption] [caption id="attachment_51421" align="aligncenter" width="750"] Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa ameshikilia tuzo ya Shirika la Umeme Tanzania(Tanesco) tayari kuikabidhi tuzo kwa hiyo kwa Tanesco baada ya kutambuliwa kuwa Taasisi inayochukua wanafunzi wengi wanaomaliza vyuo na kuwapa mafunzo ya uzoefu kazini (Ineternship), mara baada ya kuzindua rasmi Programu hiyo ambayo inatekelezwa na Serikali ya Tanzania kwa lengo la kukuza ujuzi wa vijana, kulia ni Waziri wa Kazi, Uwezeshaji Wazee, Vijana Wanawake na Watoto kutoka Zanzibar, Maudline Cyrus Castico.[/caption] [caption id="attachment_51422" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Wenyeulemavu, Jenista Mhagama, akimkaribisha Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, kuzungumza na hadhara ya washiriki wa Mkutano wa Mawaziri wa Kazi na Ajira, Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC), uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere(JNICC), Jijini Dar es Salaam, Tanzania.[/caption] [caption id="attachment_51423" align="aligncenter" width="750"] Katibu Mtendaji wa Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC), Dkt. Stergomena Tax akizungumza katika Mkutano wa Mawaziri wa Kazi na Ajira, Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC), uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere(JNICC), Jijini Dar es Salaam, Tanzania.[/caption] [caption id="attachment_51424" align="aligncenter" width="750"] Washiriki wa Mkutano wa Mawaziri wa Kazi na Ajira, Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC), wakiwa katika Ukumbi wa Selous JNICC kwenye ufunguzi wa Mkutao huo uliofanyika leo Machi 5, 2020, Jijini Dar es Salaam, Tanzania.[/caption] [caption id="attachment_51425" align="aligncenter" width="750"] Mnufaika wa Programu ya mafunzo ya uzoefu kazini(Intership) akielezea namna programu hiyo ilivyomsaidia kupata uzoefu wa kazi, Programu hiyo ambayo inatekelezwa na Serikali ya Tanzania imezinduliwa rasmi na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, katika Mkutano wa Mawaziri wa Kazi na Ajira, Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC), uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere(JNICC), Jijini Dar es Salaam, Tanzania[/caption]