Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Makamu wa Rais Mama Samia Arejea Nchini Akitokea Nairobi Kenya
Nov 29, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_23764" align="aligncenter" width="749"] Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akisindikizwa na Balozi wa Tanzania nchini Kenya Mhe. Dkt. Pindi Chana katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyatta Jijini Nairobi.[/caption] [caption id="attachment_23766" align="aligncenter" width="750"] Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokelewa na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa katika uwanja wa ndege wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_23765" align="aligncenter" width="750"] Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokelewa na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa katika uwanja wa ndege wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi