Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu akikata utepe kuzindua rasmi Tamasha la Urithi uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma
Mtoto wa Shaaba Robert Mzee Ikbali Robert akionyesha Tuzo ya Nguli wa Lugha ya Kiswahili katika uandishi aliyokabidhiwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu ikiwa ni ishara ya kutambua mchango mkubwa wa Baba yake.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu akimkabidhi Tuzo ya Nguli wa Sanaa ya Urithi Mjukuu wa mzee Morris Nyunyusa kama ishara ya kutambua mchango wake katika kutunza na kudumisha utamaduni.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu akiangalia moja ya bidhaa zinazotengenezwa kwa mkono na kikundi cha Eddie Collection wakati wa uzinduzi wa Tamasha la Urithi uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma.