Makamu wa Rais Atoa Pole Msiba wa Mama wa Dkt. Bilal
Jan 24, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango akitoa pole kwa Makamu wa Rais Mstaafu Dkt. Mohammed Gharib Bilal pamoja na familia yake kufuatia kifo cha Mama yake Dkt. Bilal aliyefariki tarehe 3 Januari 2022 na kuzikwa tarehe 4 Januari 2022 kijiji cha Kiboje mkoa wa Kusini Unguja .
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango akiwa katika picha ya pamoja na familia ya Makamu wa Rais Mstaafu, Dkt. Mohammed Gharib Bilal alipofika kutoa pole kufuatia kifo cha Mama yake Dkt. aliyefariki tarehe 3 Januari 2022 na kuzikwa tarehe 4 Januari 2022 kijiji cha Kiboje mkoa wa Kusini Unguja .