Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Mpango akikagua barabara ya mchepuko katika mlima Inyala mkoani Mbeya leo tarehe 01 Agosti, 2023.
Na
Ofisi ya Makamu wa Rais
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Mpango akikagua Zahanati ya Shamwengo iliyopo eneo la Inyala mkoani Mbeya leo tarehe 01 Agosti, 2023.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Mpango akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Shamwengo mara baada ya kutembelea zahanati ya Kijiji hicho leo tarehe 01 Agosti, 2023.