Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Makamu wa Rais Ashiriki Ufunguzi Mkutano wa SDGS - New York
Sep 18, 2023
Makamu wa Rais Ashiriki Ufunguzi Mkutano wa SDGS - New York
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Mpango akishiriki katika ufunguzi wa Mkutano wa Malengo ya Maendeleo Endelevu unaofanyika katika Ukumbi wa Umoja wa Mataifa New York nchini Marekani.(kutoka kulia ni Mwakilishi wa Kudumu wa Umoja wa Matifa New York, Balozi Hussein Katanga na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mbarouk N Mbarouk).
Na ofisi ya Makamu wa Rais

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi