Makamu wa Rais Arejea Nchini Akitokea Kenya, Awasili Dodoma
Mar 05, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango akiagana na viongozi mbalimbali katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta uliopo Nairobi nchini Kenya wakati akiondoka kurejea nchini Tanzania.Machi 5,2022
Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango leo tarehe 5 Machi 2022 akisalimiana na viongozi mbalimbali wa Mkoa wa Dodoma katika uwanja wa ndege wa Dodoma wakati akirejea nchini kutokea Nairobi nchini Kenya ambapo alishiriki Mkutano Maalum wa Baraza la Kimataifa la Mazingira ulioenda sambamba na maadhimisho ya miaka 50 ya Shirikala Umoja wa Mataifa la Mazingira (UNEP).