[caption id="attachment_37462" align="aligncenter" width="750"] Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisisitiza jambo kwa Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Atashasta Nditiye (mwenye shati nyeupe) wakati wa ziara yake ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa barabara inayojengwa kwa kiwango cha lami ya Mkuranga – Kisiju, mkoani Pwani[/caption] [caption id="attachment_37463" align="aligncenter" width="750"] Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Atashasta Nditiye (aliyevaa shati nyeupe) akifafanua jambo kwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan (wa tatu kushoto) kuhusu maendeleo ya ujenzi wa barabara inayojengwa kwa kiwango cha lami ya Mkuranga – Kisiju wakati wa ziara yake mkoani Pwani[/caption] [caption id="attachment_37464" align="aligncenter" width="750"] Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Atashasta Nditiye (wa pili kushoto) akifafanua jambo kwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan (wa kwanza kulia) kuhusu maendeleo ya ujenzi wa barabara inayojengwa kwa kiwango cha lami ya Mkuranga – Kisiju wakati wa ziara yake mkoani Pwani[/caption] [caption id="attachment_37465" align="aligncenter" width="750"] Kaimu Meneja wa TANROADS Mkoa wa Pwani Mhandisi Martin Wambura (wa kwanza kushoto) akifafanua jambo kwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan (wa kwanza kulia) wakati wa ziara yake ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa barabara inayojengwa kwa kiwango cha lami ya Mkuranga – Kisiju mkoani Pwani[/caption]