Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Makamu wa Rais Akagua Mabanda Maadhimisho ya Miaka 10 ya Mtandao wa Polisi Wanawake Tanzania
Nov 09, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_22133" align="aligncenter" width="750"] Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akiongozana na Naibu Waziri Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kushoto) na Mkuu wa Jeshi la Polisi Mstaafu, Alhaji Omari Mahita (kulia), kuelekea kukagua mabanda wakati wa Maadhimisho ya Miaka 10 ya Mtandao wa Polisi Wanawake Tanzania, yaliyofanyika leo katika Viwanja vya Chuo cha Taaluma za Polisi, Barabara ya Kilwa, jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_22134" align="aligncenter" width="750"] Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akisikiliza maelezo ya jinsi silaha inavyohakikiwa kutoka kwa Afisa wa Jeshi la Polisi, Kitengo cha Udhibiti wa Silaha, Dotto Shilogile, alipotembelea mabanda ya maonesho wakati wa Maadhimisho ya Miaka 10 ya Mtandao wa Polisi Wanawake Tanzania, yaliyofanyika leo katika Viwanja vya Chuo cha Taaluma za Polisi, Barabara ya Kilwa, jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_22135" align="aligncenter" width="750"] Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akiangalia silaha ambayo imeshahakikiwa, alipotembelea banda la Kitengo cha Ukaguzi wa silaha wakati wa Maadhimisho ya Miaka 10 ya Mtandao wa Polisi Wanawake Tanzania, yaliyofanyika leo katika Viwanja vya Chuo cha Taaluma za Polisi, Barabara ya Kilwa, jijini Dar es Salaam.Wapili kushoto ni Naibu Waziri Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni.[/caption] [caption id="attachment_22136" align="aligncenter" width="750"] Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akisikiliza maelezo ya uendeshaji salama wa vyombo vya moto kutoka kwa Koplo Faustine Nduguru, alipotembelea banda la askari wa usalama barabarani wakati wa Maadhimisho ya Miaka 10 ya Mtandao wa Polisi Wanawake Tanzania yaliyofanyika leo katika Viwanja vya Chuo cha Taaluma za Polisi, Barabara ya Kilwa, jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_22137" align="aligncenter" width="750"] Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akizindua kitabu kinachoeleza historia ya Miaka 10 tangu kuanzishwa Mtandao wa Polisi Wanawake wakati wa Maadhimisho ya Miaka 10 ya mtandao huo, yaliyofanyika leo katika Viwanja vya Chuo cha Taaluma za Polisi, Barabara ya Kilwa, jijini Dar es Salaam. Katikati ni Naibu Waziri Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni na Kulia ni Mwenyekiti wa Mtandao wa Polisi Wanawake Tanzania,Kamishna Alice Mapunda.[/caption] [caption id="attachment_22138" align="aligncenter" width="750"] Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan (wapili kulia) akimkabidhi cheti mmoja wa askari mstaafu alietoa mchango wake wakati wa uanzishwaji wa Mtandao wa Polisi Wanawake Tanzania wakati wa Maadhimisho ya Miaka 10 ya mtandao huo yaliyofanyika leo katika Viwanja vya Chuo cha Taaluma za Polisi, Barabara ya Kilwa, jijini Dar es Salaam.Katikati ni Naibu Waziri Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni na Kulia ni Kaimu Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini,Kamishna Mussa Ali Mussa.[/caption] [caption id="attachment_22139" align="aligncenter" width="750"] Naibu Waziri Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kushoto) akimkabidhi zawadi Mgeni Rasmi wa Maadhimisho ya Miaka 10 ya Mtandao wa Polisi Wanawake Tanzania, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan wakati wa maadhimisho hayo yaliyofanyika leo katika Viwanja vya Chuo cha Taaluma za Polisi, Barabara ya Kilwa, jijini Dar es Salaam.Anayeshuhudia kushoto ni Kaimu Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini,Kamishna Mussa Ali Mussa.(Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi