Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Makamu wa Rais Afungua Mkutano wa Afya na Ukimwi wa Mawaziri SADC
Nov 08, 2019
Na Msemaji Mkuu

  [caption id="attachment_48693" align="aligncenter" width="750"] Makamu wa Rais wa Jumhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan Akiwasili katika Ukumbi wa Mikutano wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Jijini Dar es Salaam, kufungua Mkutano wa Mawaziri wa Afya na UKIMWI Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Nchi za Kusini Mwa Afrika (SADC) leo Novemba 07, 2019.[/caption]   [caption id="attachment_48696" align="aligncenter" width="750"] Makamu wa Rais wa Jumhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia kufungua Mkutano wa Mawaziri wa Afya na UKIMWI Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Nchi za Kusini Mwa Afrika (SADC) unaoendelea katika Ukumbi wa Mikutano wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_48697" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe. Ummy Mwalimu akimkaribisha kuongea na Mawaziri na Wajumbe wa Mkutano wa Mkutano wa Mawaziri wa Afya na UKIMWI Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Nchi za Kusini Mwa Afrika (SADC), Mgeni Rasmi ambaye ni Makamu wa Rais wa Jumhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, Mkutano huo unafanyika katika Ukumbi wa Benki ya Tanzania (BOT) Jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_48698" align="aligncenter" width="750"] Makamu wa Rais wa Jumhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan (wa pili kulia) akimsikiliza Katibu Mkuu Wazira ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, Dkt.Zainab Chaula katika Mkutano wa Mawaziri wa Afya na UKIMWI Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Nchi za Kusini Mwa Afrika (SADC) leo Novemba 07, 2019., wa kwanza kulia ni Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe. Ummy Mwalimu, na kutoka kushoto ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba Kabudi, na Katibu Mtendaji SADC, Dkt. Stagomena Taxi.[/caption] [caption id="attachment_48699" align="aligncenter" width="750"] Katibu Mtendaji SADC, Dkt. Stagomena Taxi, akizungumza katika Mikutano wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Jijini Dar es Salaam, kufungua Mkutano wa Mawaziri wa Afya na UKIMWI Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Nchi za Kusini Mwa Afrika (SADC) leo Novemba 07, 2019.[/caption] [caption id="attachment_48700" align="aligncenter" width="750"] Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Dkt. Zainabu Chaula, akizungumza katika Mikutano wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Jijini Dar es Salaam, kufungua Mkutano wa Mawaziri wa Afya na UKIMWI Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Nchi za Kusini Mwa Afrika (SADC) leo Novemba 07, 2019.[/caption] [caption id="attachment_48702" align="aligncenter" width="750"] Wajumbe wa Sekta ya Afya kutoka Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Nchi za Kusini Mwa Afrika (SADC), wakifuatilia Mkutano wa Mkutano wa Mawaziri wa Afya na UKIMWI Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Nchi za Kusini Mwa Afrika (SADC) leo Novemba 07, 2019.[/caption] [caption id="attachment_48704" align="aligncenter" width="750"] Makamu wa Rais wa Jumhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha ya pamoja Wajumbe wa Sekya ya Afya SADC na Viongozi wa Serikali mara baada ya kufungua Mkutano wa Mawaziri wa Afya na UKIMWI Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Nchi za Kusini Mwa Afrika (SADC) leo Novemba 07, 2019.[/caption] [caption id="attachment_48705" align="aligncenter" width="750"] Makamu wa Rais wa Jumhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe. Ummy Mwalimu(kulia) na Katibu Mtendaji SADC, Dkt. Stagomena Taxi (kushoto), mara baada ya Mkutano wa Mawaziri wa Afya na UKIMWI Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Nchi za Kusini Mwa Afrika (SADC) leo Novemba 07, 2019.(Picha na Idara ya Habari-MAELEZO).[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi