Majaliwa Azungumza na Wakuu wa Mikoa kwa Njia ya Video
Aug 12, 2021
Na
Jacquiline Mrisho
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Wakuu wa Mikoa kwa njia ya video akiwa Ofisini kwake, Mlimwa jijini Dodoma, Agosti 12, 2021. Kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Ummy Mwalimu
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Ummy Mwalimu baada ya kuzungumza na Wakuu wa Mikoa kwa njia ya video, Ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Agosti 11, 2021.