Majaliwa Azungumza na Wakuu wa Mikoa kwa Njia ya Mtandao Kuhusu Sensa ya Watu na Makazi
Feb 18, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika Kikao na Wakuu wa Mikoa kwa njia ya mtandao kuhusu Sensa ya Watu na Makazi akiwa Ofisini kwake Mlimwa jijini Dodoma, Februari 18, 2022.