Majaliwa Azungumza Katika Maadhimisho ya Siku ya Amani Duniani Kitaifa Moshi
Sep 21, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika Maadhimisho ya Siku ya Amani Duniani yaliyofanyika kitaifa kwenye ukumbi wa Kuringe Mjini Moshi Septemba 21, 2022.