Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Majaliwa Azindua Ofisi ya Taifa ya Mashtaka Jijini Dodoma
Aug 15, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_34233" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongozana na Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Paramagamba Kabudi wakati alipowasili kwenye eneo la uzinduzi wa Ofisi ya Mwanansheria Mkuu wa Serikali, Ofisi ya Taifa ya Mashtaka na Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali Jijini Dodoma, Agosti 15, 2018.[/caption] [caption id="attachment_34234" align="aligncenter" width="750"] Baadhi ya washiriki wa tukio la uzinduzi wa Ofisi ya Mwanansheria Mkuu wa Serikali, Ofisi ya Taifa ya Mashtaka na Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza katika uzinduzi huo Jijini Dodoma, Agosti15, 2018.[/caption] [caption id="attachment_34235" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikata utepe kuzindua Ofisi ya Mwanansheria Mkuu wa Serikiali, Wakili Mkuu wa Serikali na Ofisi ya Taifa ya Mashtaka jijini Dodoma Agosti 15, 2018. Wengine kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma, Godwin Kunambi, Meya wa Jiji la Dodoma, Profesa Devis Mwamfupe, Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Anthony Mavunde, Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Paramagamba Kabudi, Mkuu wa wilaya ya Dodoma, Patrobas Katambi, Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Dkt. Adelardus Kilangi, Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria , Profesa Sifuni Mchome, Mkurugenzi wa Mshtaka, Biswalo Mganga na kulia ni Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Posi.[/caption] [caption id="attachment_34236" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama vitabu wakati alipotembelea maktaba ya Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Wakili Mkuu wa Serikali na Ofisi ya Taifa ya Mashtaka aliyoizindua jijini Dodoma, Agosti 15, 2018. Kulia ni Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Paramagamba Kabudi.[/caption] [caption id="attachment_34237" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa, Paramagamba Kabudi (kushoto), Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Anthony Mavunde (wapili kushoto) na Mkuu wa wilaya ya Dodoma, Patrobas Katambi.[/caption] [caption id="attachment_34238" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na viongozi walioshirki katika uzinduzi wa Ofisi za Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Wakili Mkuu wa Serikali na Ofisi ya Taifa ya Mashtaka jijini Dodoma, Agosti 15, 2018. Waliokaa wanne kushoto ni Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Paramagamba Kabudi na watatu kushoto ni Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Anthony Mavunde. Watatu kulia ni Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Dkt. Adelardus Kilangi na wanne kulia ni Mkuu wa wilaya ya Dodoma, Patrobas Katambi.[/caption] [caption id="attachment_34239" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Mkuu wa wilaya ya Dodoma, Patrobas Katambi baada ya kuzindua Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Wakili Mkuu wa Serikali na Ofisi ya Taifa ya Mshtaka jijini Dodoma, Agosti 15, 2018. Kushoto ni Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa, Paramagamba Kabudi na kulia ni Mwanasheria Mkuu wa Seriakli, Dkt. Adelardus Kilangi.[/caption] [caption id="attachment_34240" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwaaga washiriki wa uzinduzi wa Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Wakili Mkuu wa Serikali na Ofisi ya Taifa ya Mashtaka baada ya kuzindua Ofisi hiyo jijini Dodoma, Agosti 15, 2018. Wapili kulia ni Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Paramnagamba Kabudi na kushoto ni Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Anthony Mavunde. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi