Majaliwa Azindua Jengo la Makao Makuu ya Kanisa la TAG Jijini Dodoma
Aug 12, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Muonekano wa jengo la ofisi ya Makao Makuu ya Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG) ambalo Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alilizindua jijini Dodoma, Agosti 12, 2022.
Baadhi ya washiriki wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipozungumza akimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan katika Uzinduzi wa jengo la ofisi ya Makao Makuu ya Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG) jijini Dodoma, Agosti 12, 2022.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipomuwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan katika uzinduzi wa jengo la ofisi ya Makao Makuu ya Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG) jijini Dodoma, Agosti 12, 2022.
Baadhi ya washiriki wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipozungumza akimuwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan katika Uzinduzi wa jengo la ofisi ya Makao Makuu ya Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG) jijini Dodoma, Agosti 12, 2022.