Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa Tanzania nchini, DRC, Luteni Jenerali Paul Mella wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa Kinshasa , Nd'jili Februari 23, 2022 ambako kesho anatarajiwa kushiriki Mkutano wa Kumi wa Wakuu wa Nchi na Serikali zinazohusika na Mpango wa Amani, Usalama na ushirikiano nchini humo na ukanda wa Maziwa Makuu