Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Majaliwa Atembelea Viwanda Jijini Tanga
Nov 02, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_37734" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasalimia wananchi wa kijiji cha Soni wilayani Lushoto akiwa katika ziara ya mkoa wa Tanga, Novemba 1, 2018.[/caption] [caption id="attachment_37735" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kuhusu uzalishaji wa saruji kutoka kwa Bw. Pradeep Punlana (katikati) ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa kiwanda cha saruji cha Rhino kilichopo eneo la Maweni jijini Tanga wakati alipotembelea kiwanda hicho Novemba 1, 2018.[/caption] [caption id="attachment_37736" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kuhusu uzalishaji wa saruji kutoka kwa Bw. Pradeep Punlana (katikati) ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa kiwanda cha saruji cha Rhino kilichopo eneo la Maweni jijini Tanga wakati alipotembelea kiwanda hicho Novemba 1, 2018.[/caption] [caption id="attachment_37737" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama usindikaji wa maziwa wakati alipotembelea kwanda cha Maziwa cha Tanga Fresh cha jijini Tanga, Novemba 1, 2018. Kushoto ni Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage, watatu kushoto ni Meneja Ufundi wa kiwanda hicho, Adam Gamba na wanne kukhoto ni Meneja Mkuu wa kiwanda, Michael Karata.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi