[caption id="attachment_27516" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Mara, Adam Malima wakati alipotembelea shamba la kuzalisha mbegu bora ya mhogo aina ya mkombozi katika kambi ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) ya Rwmkoma wilayani Butiama, Januari 18, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)[/caption] [caption id="attachment_27517" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama shamba la Pamba wakati alipotembelea shamba la Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) lililopo Rwamkoma wilayani Butiama Januari 20, 2018. Shamba hilo pia linazalisha mbegu bora za mhogo aina ya mkombozi.[/caption]