Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifuatilia taarifa ya Mkurugenzi wa Bodi ya Mkonge, Saad Kambona (kushoto) katika Mkutano wa Wadau wa Zao la Mkonge alioufungua kwenye ukumbi wa hoteli ya Regal Naivera jijini Tanga, Januari 20, 2021.
Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa Wadau wa Zao la Korosho wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipofungua mkutano huo kwenye ukumbi wa hoteli ya Regal Naivera jijini Tanga, Januari 20, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)