Majaliwa Aongoza Kikao Kazi cha Mawaziri na Naibu Mawaziri
Nov 08, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipoongoza Kikao Kazi cha Mawaziri na Naibu Mawaziri kwenye ukumbi wa Hazina jijini Dodoma, Novemba 8, 2022. Kulia ni Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu, Dkt, John Jingu.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipoongoza Kikao Kazi cha Mawaziri na Naibu Mawaziri kwenye ukumbi wa Hazina jijini Dodoma, Novemba 8, 2022. Kushoto kwake ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, George Simbachawene na kushoto kwake ni Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu, Dkt, John Jingu.