Majaliwa Aongoza Kikao cha Nane cha Kamati Kuu ya Sensa
Oct 11, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Baadhi ya Wajumbe wa Kamati ya Kitaifa ya Sensa wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ambaye pia ni Mwenyekiti wa kamati hiyo wakati alipofungua kikao cha kamati hiyo kwenye ukumbi wa hoteli ya Verde, Zanzibar Oktoba 11, 2022. Kikao hicho pia kilihudhuriwa na Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Mwenyekiti Mwenza, Hemed Suleiman Abdulah