Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri Mkuu wa Qatar, Sheikh Khalid bin Khalifa bin Abdulaziz Al kwenye Ofisi ya Waziri Mkuu huyo iliyopo Doha, Machi 22, 2022.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri Mkuu wa Qatar, Sheikh Khalid bin Khalifa bin Abdulaziz Al kwenye Ofisi ya Waziri Mkuu huyo iliyopo Doha, Machi 22, 2022. Kushoto ni Balozi wa Tanzania nchini Qatar, Dkt Mahadhi Juma Maalim