Majaliwa Akutana na Wadau wa Zao la Tumbaku Wilaya ya Urambo
Sep 09, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Baadhi ya wakulima wa tumbaku wa Urambo, viongozi wa Vyama vya Vikuu vya Ushirika na viongozi wa AMCOS wilayani humo wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipozungumza katika mkutano uliofanyika kwenye ukumbi wa halmashauri ya Wilaya ya Urambo Mkoa wa Tabora Septemba 9, 2022.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliiwa akizungumza na wakulima wa tumbaku wa Urambo, viongozi wa Vyama vya Vikuu vya Ushirika na viongozi wa AMCOS wilayani humo kwenye ukumbi wa halmashauri ya Wilaya ya Urambo Mkoa wa Tabora Septemba 9, 2022.