[caption id="attachment_30752" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Spika wa Bunge la Afrika ya Mashariki, Mhe. Martin Ngoga kabla ya mazungumzo yao Bungeni mjini Dodoma, Aprili 23, 2018.[/caption]
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Spika wa Bunge la Afrika ya Mashariki, Mhe. Martin Ngoga, Bungeni mjini Dodoma Aprili 23, 2018.
[caption id="attachment_30751" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katikia picha ya pamoja na Spika wa Bunge la Afrika ya Mashariki, Mhe. Martin Ngoga (watatu kushoto) baada ya mazungumzo Bungeni mjini Dodoma, Aprili 23, 2018. Wengine pichani ni Wabunge wa Bunge la Afrika ya Mashariki, kutoka kushoto ni Dkt. Abdullah Hasnuu Makame, Fancy Nkuhi na Mariam Ussi Yahya. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)[/caption]