Majaliwa Akutana na Mawaziri, Makatibu Wakuu na Viongozi wa Vyama vya Wafanyakazi
Jul 28, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika kikao cha Mawaziri na Makatibu Wakuu, Ofisi ya Rais Menejimeti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Waziri wa Fedha na Mipango pamoja na Viongozi wa Vyama vya Wafanyakazi, kwenye ukumbi wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Julai 28, 2022.