Majaliwa Akagua Ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Nmatumbo
Oct 18, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Mkewe Mary Majaliwa wakifurahia ngoma wakati walipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Songea kwa ziara ya kikazi mkoani Ruvuma, Oktoba 18, 2022.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akionyesha kukerwa na mlango mbovu uliowekwa kwenye chumba cha upasuaji wakati alipokagua ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma, Oktoba 18, 2022. Aliagiza milango mibovu iondolewe na iwekwe milango yenye ubora unaokubalika. Kulia ni Mganga Mfawidhi wa hospitali hiyo, Dkt. Christopher Wabwarumi.