Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Majaliwa Akagua Ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Kilolo
Sep 27, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_47343" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Iringa Ally Happy na Mkuu wa wilaya ya Kilolo, Asia Abdallah (wa pili kushoto) kukagua ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Kilolo , Septemba 27, 2019.[/caption] [caption id="attachment_47344" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Kilolo, Septemba 27, 2019.[/caption] [caption id="attachment_47345" align="aligncenter" width="750"] Muonekano wa sehemu ya Hospitali ya Wilaya ya Kilolo ambayo ujenzi wake uko katika hatua za mwisho. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amekagua ujenzi huo Septemba 27, 2019 na kusema kuwa amefurahishwa.[/caption] [caption id="attachment_47346" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi baada kukagua na kufurahishwa na ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Kilolo, Septemba 27, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi