Muonekano wa kipande cha barabara ya Chunya - Makongorosi yenye urefu wa Kilomita 39 ambao unatarajiwa kukamilika Februari 2022 ambayo Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alikagua maendeleo ya ujenzi wake, Novemba 29, 2021
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasalimia wananchi wa Mji Mdogo wa Makongorosi wilayani Chunya Novemba 29, 2021 wakati alipokagua maendeleo ya ujenzi wa barabara ya Chunya - Makongorosi yenye urefu wa Kilomita 39 ambao unatarajiwa kukamilika Februari 2022 .