Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mganga Mfawidhi wa Kituo cha Afya cha Ndungu katika Jimbo la Same Mashariki, Tatizo Mwakatuya (wa tatu kulia) wakati alipotembelea chumba cha upasuaji cha kituo hicho, Septemba 24, 2024. Wa pili kulia ni Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasalimia wananchi wa Kata ya Ndungu katika Jimbo la Same Mashariki baada ya kukagua maboresho ya Kituo chao cha Afya akiwa katika ziara ya kikazi mkoani Kilimanjaro, Septemba 24, 2021.