Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Majaliwa Ahutubia Mkutano wa Hadhara Mjini Tarime.
Jan 18, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_27316" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasikiliza wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Borega wilayani Tarime wakati alipotembelea maabara ya shule hiyo akiwa katika ziara ya mkoa wa Mara Januari 18, 2018.[/caption] [caption id="attachment_27317" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Tarime Mjini, Esther Matiko katika mkutano wa hadhara aliouhutubia kwenye uwanja wa Serengeti mjini Tarime Januari 17, 2018.[/caption] [caption id="attachment_27319" align="aligncenter" width="750"] Baadhi ya wananchi wa Tarime wakimsikiliza Waziri Mkuu Kassim Majaliwa wakati alipohutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa Serengeti mjini Tarime Januari 17, 2018.  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)[/caption]  

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi