Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Majaliwa Afungua Ofisi Ya Mratibu na Mwakilishi Mkazi wa UNDP Nchini, Dodoma
Dec 07, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_24322" align="aligncenter" width="750"] Baadhi ya washiriki wa Ufunguzi wa Ofisi ya Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi Mkazi wa UNDP Nchini wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza kabla ya kufungua Ofisi hiyo eneo la Mlimwa mjini Dodoma, Desemba 7, 2017.[/caption] [caption id="attachment_24323" align="aligncenter" width="750"] Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi Mkazi wa UNDP nchini, Bw. Alvaro Rodriguez akizungumza katika ufunguzi wa Ofisi yake uliofanywa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, eneo la Mlimwa mjini Dodoma Desemba 7, 2017.[/caption] [caption id="attachment_24324" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mahariki, Dr. Augustine Mahiga akizungumza katika ufunguzi wa Ofisi ya Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi Mkazi wa UNDP Nchini uliofanywa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, eneo la Mlimwa mjini Dodoma Desemba 7, 2017.[/caption] [caption id="attachment_24325" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza kabla ya kufungua Ofisi ya Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi Mkazi wa UNDP nchini eneo la Mlimwa mjini Dodoma, Desemba 7, 2017.[/caption] [caption id="attachment_24326" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifungua Ofisi ya Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi Mkazi wa UNDP. nchini, eneo la Mlimwa mjini Dodoma Desemba 7, 2017. Wapili kulia ni Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa UNDP Bw. Alvaro Rodriguez na wanne kushoto ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Dr. Augustine Mahiga.[/caption] [caption id="attachment_24327" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na watumishi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa Nchini baada ya kufungua Ofisi ya Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi Mkazi wa UNDP nchini, eneo la Mlimwa mjini Dodoma Desemba 7, 2017. Watatu kushoto waliokaa ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mshariki, Dr. Augustine Mahiga na watatu kulia waliokaa ni Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi Mkazi wa UNDP nchini, Bw. Alvaro Rodriguez. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkluu)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi