[caption id="attachment_51446" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikata utepe wakati alipofungua Maktaba ya Chuo cha Ualimu Korogwe, Machi 5, 2020. Wa tano kushoto ni Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Dkt. Leonard Akwilapo. Kushoto ni Naibu Waziri wa Maji, Jumaa Aweso, wa pili kushoto ni Mbunge wa Korogwe Mjini , Mary Chatanda, wa tatu kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Martine Shigela na wa sita kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Kissa Kasongwa.[/caption] [caption id="attachment_51445" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika maktaba ya Chuo cha Ualimu Korogwe baada ya kuifungua Machi 5, 2020.[/caption] [caption id="attachment_51447" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wanachuo wa Chuo cha Ualimu Korogwe baada ya kufungua maktaba ya chuo hicho, Machi 5, 2020.[/caption] [caption id="attachment_51448" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama vitabu baada ya kufungua maktaba ya Chuo cha Ualimu Korogwe, Machi 5, 2020.[/caption]