Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Mafunzo ya Mfumo wa Usimamizi wa fedha za Umma toleo la 10.2 (Epicor 10.2) yafungwa Mkoani Iringa
Jun 07, 2018
Na Msemaji Mkuu

Mtaalamu Mshauri wa masuala ya rasiliamali fedha kutoka Mradi wa Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3) Bi Hellen Nyagwa akifunga Mafunzo ya  Mfumo wa Usimamizi wa fedha za Umma toleo la 10.2 (Epicor 10.2) kwa  wahasibu,waweka hazina na maafisa usimamizi wa fedha wa mikoa ya Tanga,Iringa na Morogoro yaliyokuwa yakifanyika Mkoani Iringa.

Mtaalamu Mshauri wa masuala ya rasiliamali fedha kutoka Mradi wa Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3) Bi Hellen Nyagwa(Aliyekaa katikati) akiwa katika picha ya pamoja na wahasibu na waweka hazina wa  Mafunzo ya  Mfumo wa Usimamizi wa fedha za Umma toleo la 10.2 (Epicor 10.2) kutoka Morogoro na Iringa mara baada ya kufunga mafunzo hayo.

Mtaalamu Mshauri wa masuala ya rasiliamali fedha kutoka Mradi wa Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3) Bi Hellen Nyagwa(Aliyekaa katikati) akiwa katika picha ya pamoja na wahasibu na waweka hazina wa  Mafunzo ya  Mfumo wa Usimamizi wa fedha za Umma toleo la 10.2 (Epicor 10.2) kutoka Tanga mara baada ya kufunga mafunzo hayo.

Afisa TEHAMA kutoka Ofisi ya Rais-TAMISEMI Bw.James Mtatifikolo akitoa mada kuhusu dawati la Msaada kwa watumiaji wa mifumo mbalimbali ya Usimamizi wa fedha za Umma toleo la  Epicor 10.2 kwa wahasibu,waweka hazina na maafisa usimamizi wa fedha wa mikoa ya Tanga,Iringa na Morogoro.

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi