Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Mafunzo ya Mfumo wa usimamizi wa fedha za umma (Epicor 10.2) yaendelea Mkoani Iringa
Jun 06, 2018
Na Msemaji Mkuu

Mhasibu kutoka Ofisi ya Rais-TAMISEMI Bw.Juma Shaha akifuatilia jambo kwa washiriki wa Mfumo wa usimamizi wa fedha za umma (Epicor 10.2) yanayoendelea Mkoani Iringa yakiwashirikisha wahasibu,waweka hazina na maafisa usimamizi wa fedha wa mikoa ya Tanga,Iringa na Morogoro.

Mhasibu kutoka Ofisi ya Rais-TAMISEMI Bw.Juma Shaha akifafanua jambo kwa washiriki wa mafunzo  wa Mfumo wa usimamizi wa fedha za umma (Epicor 10.2) yanayoendelea Mkoani Iringa yakiwashirikisha wahasibu,waweka hazina na maafisa usimamizi wa fedha wa mikoa ya Tanga,Iringa na Morogoro.

 

Washiriki wa mafunzo  wa Mfumo wa usimamizi wa fedha za umma (Epicor 10.2) wakifanya mafunzo kwa vitendo kwa kutumia mfumo mpya wa Epicor 10.2 leo Mkoani Iringa ambapo mafunzo hayo yanawashirikisha wahasibu,waweka hazina na maafisa usimamizi wa fedha wa mikoa ya Tanga,Iringa na Morogoro.

Washiriki wa mafunzo  wa Mfumo wa usimamizi wa fedha za umma (Epicor 10.2) wakifanya mafunzo kwa vitendo kwa kutumia mfumo mpya wa Epicor 10.2 leo Mkoani Iringa ambapo mafunzo hayo yanawashirikisha wahasibu,waweka hazina na maafisa usimamizi wa fedha wa mikoa ya Tanga,Iringa na Morogoro.

Washiriki wa mafunzo  wa Mfumo wa usimamizi wa fedha za umma (Epicor 10.2) wakifanya mtihani wa tathmini katika magrupu leo Mkoani Iringa ambapo mafunzo hayo yanawashirikisha wahasibu,waweka hazina na maafisa usimamizi wa fedha wa mikoa ya Tanga,Iringa na Morogoro.

Mhasibu kutoka Ofisi ya Rais-TAMISEMI Bw.Juma Shaha(kushoto) akifuatiia jambo na Mtaalamu mshauri wa Masuala ya rasilimali fedha kutoka Ps3 Bi.Hellen Nyagwa wakati wa mafunzo ya Mfumo wa usimamizi wa fedha za umma (Epicor 10.2) yanayofanyika kwa wahasibu,waweka hazina na maafisa usimamizi wa fedha wa mikoa ya Tanga,Iringa na Morogoro.

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi