Baadhi ya Mabalozi walioteuliwa kuiwakilisha Tanzania katika nchi mbalimbali Duniani wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipozungumza nao leo walipofika kujitambulisha na kumuaga Ikulu Jijini ZanzibarRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akiagana na Balozi Habibu A. Mohamed anaeiwakilisha Tanzania katika nchi ya Doha, Qatar akiwa ni miongoni mwa Mabalozi walipofika kujitambulisha na kumuaga Rais, Ikulu Jijini Zanzibar leo.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akiagana na Balozi Hassan Mwamweta anaeiwakilisha Tanzania katika Nchi ya Berlin na Ujerumani akiwa ni miongoni mwa Mabalozi walipofika kujitambulisha na kumuaga Rais, Ikulu Jijini Zanzibar leo.
Giza
Mwanga
Chaguo Msingi
Ndogo
Kawaida
Kubwa