Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Mabalozi Wafanya Ziara ya Kitalii Mlima Kilimanjaro
Dec 11, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_24638" align="aligncenter" width="756"] Baadhi ya Mabozi wakijiandaa kupanda Mlima Kilimanjaro kuchochea utalii wa ndani na nje na ikiwa sehemu ya kusherehekea miaka 56 ya Uhuru.Kutoka kushoto ni Dr. Achiula Chuo cha Diplomasia, Balozi Mstaafu Anthony Cheche alikuwa Balozi wa Tanzania DRC., Balozi Samwel Shelukindo, Balozi wa Tanzania nchim Ufaransa, Balozi Aziz Ponary Mlima ( Mambo ya Nje) na Balozi Abdelaziz Samee ( Balozi wa Algeria nchini Qatar)[/caption] [caption id="attachment_24639" align="aligncenter" width="992"] Mabalozi wa Tanzania wakiwa Juu ya Kilele cha Mlima Kilimanjaro. (Uhuru Peak). Kutoka kushoto asiyeonekana kwenye picha Dr. Alan Mzengi, Bi Nyanjira ( Mambo ya Nje) Balozi Samwel Shelukindo ( Paris) Balozi Aziz P. Mlima ( Mambo ya Nje) Balozi Anthony Cheche ( Mstaafu), Dkt Achiula.( Chuo Cha Diplomasia), Balozi Hemed Mgaza ( Ryadhi, Saudi Arabia) Balozi Pastor Ngaiza (70), ( Balozi Mstaafu) na Bwana Chombo, Kiongozi wa Wapandishaji Watalii Mlimani.( Chief Guide).[/caption]

Na Mwandishi Wetu

Mabalozi wa nchi mbalimbali nchini wamefanya ziara ya kitalii kwa kupanda Mlima Kilimanjaro ikiwa sehemu ya kusherehekea  miaka 56 ya Uhuru na kuendeleza juhudi za kutangaza vivutio vya utalii nchini.

Ziara hiyo iliyolenga kujifunza na kuhamasisha utalii wa ndani ilikuwa na kaulimbiu "Panda Mlima Kilimanjaro 2017; Diplomasia na Utalii kuinuliwa kwenye kilele cha Afrika" (Kilimanjaro Climb 2017; Diplomacy and Tourism Elevated to the Highest Peak of Africa).

Aidha, Bodi ya Utalii (TTB) inatoa wito kwa mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania katika nchi nyingine duniani kutumia nafasi hiyo katika kuvitangaza vivutio vya utalii nchini.

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi