Mabalozi wa Soud Arabia na Kenya Wakutana na Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Ali Mwinyi Leo
Feb 23, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi (kulia) akiagana na mgeni wake Balozi wa Jamhuri ya Kenya nchini Tanzania. Mhe. Dan Kazungu wakati alipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo.