Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Maandalizi ya Sherehe za Muungano wa Tanganyika na Zanzibar
Apr 24, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_30849" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa (hayupo pichani) akitazama halaiki wakati alipokagua maandalizi ya sherehe za miaka 54 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kwenye uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma Aprili 24, 2018. adui mbele Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, wakati alipokagua maandalizi ya sherehe za miaka 54 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kwenye uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma Aprili 24, 2018.[/caption] [caption id="attachment_30850" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia mikono wananchi wakati alipokagua maandalizi ya sherehe za miaka 54 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar katika uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma Aprili 24, 2018.[/caption] [caption id="attachment_30851" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akitazama onesho la halaiki, wakati alipokagua maandalizi ya sherehe za miaka 54 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kwenye uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma Aprili 24, 2018. Kutoka kulia ni Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, (Sera na Uratibu) Profesa Faustine Kamuzola, Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dkt. Bilinith Mahenge, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu , Jenista Mhagama, Katibu Mkuu Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dr Florens Turuka, na Mkuu wa Majeshi ya Tanzania, Jenerali Venance Mabeyo.[/caption] [caption id="attachment_30852" align="aligncenter" width="750"] Askari wa Jeshi la Magereza, wakionesha zoezi la kupambana na adui mbele Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, wakati alipokagua maandalizi ya sherehe za miaka 54 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kwenye uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma Aprili 24, 2018.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi