[caption id="attachment_46896" align="aligncenter" width="750"] Mkurugenzi wa Idara ya Habari – MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi akiwasilisha mada kuhusu uandishi wa habari za Kiserikali wakati wa mafunzo kwa Maafisa Habari na Mwasiliano wa Serikali na taasisi zake leo jijini Dodoma.Mafunzo hayo ya siku tano yameandaliwa kwa ushirikiano baina ya Idara ya Habari – MAELEZO na Cham cha Maafisa Mawasiliano Serikalini (TAGCO) kwa lengo la kuwajengea uwezo maafisa hao.[/caption] [caption id="attachment_46897" align="aligncenter" width="750"] Afisa Habari toka Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali, Daud Nyingo akichangia mada wakati wa mafunzo wakati wa mafunzo kwa Maafisa Habari na Mwasiliano wa Serikali na taasisi zake leo jijini Dodoma.Mafunzo hayo ya siku tano yameandaliwa kwa ushirikiano baina ya Idara ya Habari – MAELEZO na Cham cha Maafisa Mawasiliano Serikalini (TAGCO) kwa lengo la kuwajengea uwezo maafisa hao.[/caption] [caption id="attachment_46898" align="aligncenter" width="750"] Afisa Uhusiano wa Tume ya Nguvu za Atomiki, Angela Msangi (kushoto) akijibu swali walilopewa wakati wa mafunzo kwa Maafisa Habari na Mwasiliano wa Serikali na taasisi zake leo jijini Dodoma. Mafunzo hayo ya siku tano yameandaliwa kwa ushirikiano baina ya Idara ya Habari – MAELEZO na Cham cha Maafisa Mawasiliano Serikalini (TAGCO) kwa lengo la kuwajengea uwezo maafisa hao.[/caption] [caption id="attachment_46901" align="aligncenter" width="750"] Baadhi ya Maafisa Habari wa Serikali na taasisi zake wakijadiliana katika makundi mara baada ya kusikiliza mada toka kwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari – MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi (hayupo pichani) wakati wa mafunzo kwa Maafisa Habari na Mwasiliano wa Serikali na taasisi zake leo jijini Dodoma.Mafunzo hayo ya siku tano yameandaliwa kwa ushirikiano baina ya Idara ya Habari – MAELEZO na Cham cha Maafisa Mawasiliano Serikalini (TAGCO) kwa lengo la kuwajengea uwezo maafisa hao. (Picha na Idara ya Habari – MAELEZO)[/caption]