Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Maadhimisho ya Wiki ya Msaada wa Kisheria
Dec 02, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_23947" align="aligncenter" width="750"] Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria Amon Mpanju akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusu Wiki ya Msaada wa Kisheria leo Jijini Dar es Salaam. Wiki hii ya Msaada wa Kisheria inatarajiwa kuanza tarehe 04 Desemba 2017 ambapo kitaifa itafanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Dar es Salaam.Kutoka kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Mtandao wa Mashirika yanayotoa Huduma ya Msaada wa Kisheria Tanzania (TANLAP), Bi. Christina Kamili na Kaimu Msajili Msaada wa Kisheria toka Wizara ya Katiba na Sheria Bibi. Felista Joseph.[/caption] [caption id="attachment_23948" align="aligncenter" width="750"] Mkurugenzi Mtendaji wa Mtandao wa Mashirika yanayotoa Huduma ya Msaada wa Kisheria Tanzania (TANLAP), Bi. Christina Kamili akifafanua jambo mbele ya Waandishi wa Habari (hawapo pichani) walipokuwa wakiongea kuhusu Maadhimisho ya Wiki ya Msaada wa Kisheria inayotarajiwa kuanza tarehe 04 Desemba katika viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Dar es Salaam.Kutoka kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria Amon Mpanju na Kaimu Msajili Msaada wa Kisheria toka Wizara ya Katiba na Sheria Bibi. Felista Joseph.[/caption] [caption id="attachment_23949" align="aligncenter" width="750"] Baadhi ya Waandishi wa Habari wakifuatilia mkutano baina yao na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria Amon Mpanju (hayupo pichani) alipokuwa akizungumzia Maadhisho ya Wiki ya Msaada wa Kisheria leo Jijini Dar es Salaam. (Picha na: MAELEZO)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi