[caption id="attachment_26874" align="aligncenter" width="750"] Baadhi ya Wananchi na Wageni waalikwa wakihudhuria maadhimisho ya sherehe za Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliofanyika katika Viwanja vya Amaan Zanzibar.([/caption] [caption id="attachment_26875" align="aligncenter" width="750"] Makamu wa Rais Mstaafu wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal akiwasili katika viwanja vya Amaan akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mohmoud.[/caption] [caption id="attachment_26876" align="aligncenter" width="750"] Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt. Aman Abed Karume akiwasili katika viwanja vya Amaan katika sherehe za miaka 54 ya Mapinduzi Zanzibar[/caption] [caption id="attachment_26877" align="aligncenter" width="750"] Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt. Aman Abed Karume akiwasili katika viwanja vya Amaan na kusalimiana na Mkuu Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mohmoud. katika sherehe za miaka 54 ya Mapinduzi Zanzibar[/caption] [caption id="attachment_26878" align="aligncenter" width="750"] Mabalozi wanaowakilisha Nchini zao Tanzania wakiwasili katika Uwanja wa Amaan Zanzibar kuhudhuria sherehe za Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar[/caption] [caption id="attachment_26879" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwasili katika Uwanja wa Amaan Zanzibar kuhudhuria sherehe za Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar akiwa katika msafara maalum wa mapikipiki.[/caption] [caption id="attachment_26880" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwasalimia Wananchi waliohudhuria sherehe za maadhimisho ya Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar yalioadhimishwa katika Uwanja wa Amaan Zanzibar.[/caption] [caption id="attachment_26881" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akipokea salamu na kupigwa mizinga 21 wakati wa sherehe za Maadhimisho ya Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar yalioadhimishwa katika Viwanja vya Amaan Zanzibar.[/caption] [caption id="attachment_26882" align="aligncenter" width="750"] Kikosi cha JWTZ wakitowa heshima wakati wa kupigwa mizinga 21 wakati wa maadhimisho ya Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliofanyika katika viwanja vya Amaan Zanzibar.[/caption] [caption id="attachment_26883" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Viongozi wa Jukwaa Kuu wakisimama wakati wa kutowa salamu na kupigwa mizinga 21 kuadhimisha miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliofanyika katika Uwanja wa Amaan Zanzibar.[/caption] [caption id="attachment_26884" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akikagua Gwaride Maalum la maadhimisho ya Sherehe za Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar yalioadhimishwa katika viwanja vya Amaan Zanzibar.[/caption] [caption id="attachment_26885" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa hafla ya sherehe za kuadhimisha Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar katika viwanja vya Amaan Zanzibar.(Picha na Ikulu)[/caption]