Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Mafunzo ya Kuwajengea Uwezo Maafisa Utumishi na Wataalamu wa Afya wa Halmashauri za mkoa wa Mtwara juu ya namna bora ya upangaji wa watumishi katika vituo vya kutolea huduma kwa kuzingatia mahitaji
Jun 06, 2018
Na Msemaji Mkuu

Msahuri wa rasilimali watu kutoka Mradi wa Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma PS3, Zawadi Dakika, akitoa maelekezo kwa mmoja wa washiriki wa mafunzo ya kuwajengea uwezo maafisa utumishi na wataalamu wa afya wa halmashauri za mkoa wa Mtwara juu ya namna bora ya upangaji wa watumishi katika vituo vya kutolea huduma kwa kuzingatia mahitaji. Mafunzo hayo ya siku mbili yanafanyika mkoani Mtwara yakiendeshwa na mradi wa PS3 kwa ufadhili wa shirika la Kimarekani la USAID.

Baadhi ya washiriki wa mafunzo ya kuwajengea uwezo maafisa utumishi na wataalamu wa afya wa halmashauri za mkoa wa Mtwara juu ya namna bora ya upangaji wa watumishi katika vituo vya kutolea huduma kwa kuzingatia mahitaji, wakifuatilia kwa makini somo kutoka kwa muwezeshaji (hayupo pichani).

Washiriki wa mafunzo ya kuwajengea uwezo maafisa utumishi na wataalamu wa afya wa halmashauri za mkoa wa Mtwara juu ya namna bora ya upangaji wa watumishi katika vituo vya kutolea huduma kwa kuzingatia mahitaji, wakiwa makini katika kuleza kwa vitendo yale wanayofundishwa na wawezeshaji wao.

Kulia ni mganga mkuu wa wilaya ya Nanyumbu, Dokta Faraji Mwakafwila akiwaelekeza jambo washiri wenzake wa mafunzo ya kuwajengea uwezo maafisa utumishi na wataalamu wa afya wa halmashauri za mkoa wa Mtwara juu ya namna bora ya upangaji wa watumishi katika vituo vya kutolea huduma kwa kuzingatia mahitaji. Mafunzo hayo ya siku mbili yanafanyika mkoani Mtwara yakiendeshwa na mradi wa PS3 kwa ufadhili wa shirika la Kimarekani la USAID

Washiriki wa mafunzo ya kuwajengea uwezo maafisa utumishi na wataalamu wa afya wa halmashauri za mkoa wa Mtwara juu ya namna bora ya upangaji wa watumishi katika vituo vya kutolea huduma kwa kuzingatia mahitaji, wakiwa makini katika kutekeleza kwa vitendo yale wanayofundishwa na wawezeshaji wao.

Meneja mradi wa Uimarisha wa Mifumo ya Sekta za Umma PS3 mkoa wa Mtwara, Amina Rajabu, akiteta jambo na afisa Sera wa PS3, Christina Godfrey, katika mafunzo ya kuwajengea uwezo maafisa utumishi na wataalamu wa afya wa halmashauri za mkoa wa Mtwara juu ya namna bora ya upangaji wa watumishi katika vituo vya kutolea huduma kwa kuzingatia mahitaji. Mafunzo hayo ya siku mbili yanafanyika mkoani Mtwara yakiendeshwa na mradi wa PS3 kwa ufadhili wa shirika la Kimarekani la USAID.

Mkuu wa Idara ya Utumishi na Utawala halmashauri ya wilaya ya Masasi Mohamed Rashid, akiwa na afisa utumishi wa halmashauri hiyo Rehema Machumu, wakielekezana jambo katika mafunzo ya kuwajengea uwezo maafisa utumishi na wataalamu wa afya wa halmashauri za mkoa wa Mtwara juu ya namna bora ya upangaji wa watumishi katika vituo vya kutolea huduma kwa kuzingatia mahitaji. Mafunzo hayo ya siku mbili yanafanyika mkoani Mtwara yakiendeshwa na mradi wa PS3 kwa ufadhili wa shirika la Kimarekani la USAID.

     

 

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi