Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Khitma ya Marehemu Mzee Karume Leo
Apr 07, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_29979" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mzee Ali Hassan Mwinyi wakati alipowasili katika ukumbi wa CCM Kisiwandui Mjini Unguja leo katika Kisomo cha Khitma ya Marehemu Mzee Abeid Amani Karume ambayo hufanyika kila mwaka ifikapo tarehe 7 April baada ya kifochake,(kulia) Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa.[/caption] [caption id="attachment_29980" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Majaliwa Kassim Majaliwa wakati alipowasili katika ukumbi wa CCM Kisiwandui Mjini Unguja leo katika Kisomo cha Khitma ya Marehemu Mzee Abeid Amani Karume ambayo hufanyika kila mwaka ifikapo tarehe 7 April baada ya kifochake[/caption] [caption id="attachment_29981" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh Khamis Haji wakati alipowasili katika ukumbi wa CCM Kisiwandui Mjini Unguja leo katika Kisomo cha Khitma ya Marehemu Mzee Abeid Amani Karume ambayo hufanyika kila mwaka ifikapo tarehe 7 April baada ya kifochake[/caption] [caption id="attachment_29982" align="aligncenter" width="750"] Viongozi na Mashekhe ni miongoni mwa Wananchi mbali mbali waliohudhuria katika Kisomo cha Khitma ya Marehemu Mzee Abeid Amani Karume ambapo kisomo hichi na dua hufanyika kila mwaka ifikapo tarehe 7 April baada ya kifochake.[/caption] [caption id="attachment_29983" align="aligncenter" width="750"] Viongozi na Mashekhe ni miongoni mwa Wananchi mbali mbali waliohudhuria katika Kisomo cha Khitma ya Marehemu Mzee Abeid Amani Karume ambapo kisomo hichi na dua hufanyika kila mwaka ifikapo tarehe 7 April baada ya kifochake[/caption] [caption id="attachment_29984" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (wa tatu kushoto) akiwaongoza Viongozi na Waislamu mbali mbali katika Kisomo cha Khitma ya Marehemu Mzee Abeid Amani Karume iliyofanyika leo ukumbi wa CCM Kisiwandui Mjini Unguja ambapo kisomo hichi na dua hufanyika kila mwaka ifikapo tarehe 7 April baada ya kifochake.[/caption] [caption id="attachment_29985" align="aligncenter" width="750"] Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Fatma Karume (wa tatu kulia) Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan (wa pili kushoto) Mama Fatma Karume (katikati) na Wake mbali mbali wa Viongozi wakiwa katika Kisomo cha Khitma ya Marehemu Mzee Abeid Amani Karume ambapo kisomo hichi na dua hufanyika kila mwaka ifikapo tarehe 7 April baada ya kifochake.[/caption] [caption id="attachment_29986" align="aligncenter" width="750"] Akina Mama na Vijana wa Madrasa wakisoma Dua wakati wa Khitma ya Marehemu Mzee Abeid Amani Karume ambapo kisomo hichi na dua hufanyika kila mwaka ifikapo tarehe 7 April baada ya kifochake.[/caption] [caption id="attachment_29987" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiwa na Viongozi mbali mbali wakati wa uwekaji wa mashada ya mauwa katika kaburi la Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Amani Karume baada ya kumalizika kisomo cha Hitma kilichofanyika leo katika ukumbi wa CCM Kisiwandui Mjini Unguja[/caption] [caption id="attachment_29988" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akiweka shada la mauwa katika kaburi la Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Amani Karume baada ya kumalizika kisomo cha Hitma kilichofanyika leo katika ukumbi wa CCM Kisiwandui Mjini Unguja.[/caption] [caption id="attachment_29989" align="aligncenter" width="750"] Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan akiweka shada la mauwa katika kaburi la Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Amani Karume baada ya kumalizika kisomo cha Hitma kilichofanyika leo katika ukumbi wa CCM Kisiwandui Mjini Unguja[/caption] [caption id="attachment_29990" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Vijana,Michezo na Sanaa Mhe. Balozi Ali Karume Kwa niaba ya Familiya Mzee Karume akiweka shada la mauwa katika kaburi la Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Amani Karume baada ya kumalizika kisomo cha Hitma kilichofanyika leo katika ukumbi wa CCM Kisiwandui Mjini Unguja, ambapo dua hii hufanyika kila mwaka ifikapo tarehe 7 April baada ya kifochake[/caption] [caption id="attachment_29991" align="aligncenter" width="750"] Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi (katikati) akiomba Dua mara baada ya uwekaji wa Mashada ya Mauwa uliofanywa na Viongozi wa Kitaifa baada ya kumalizika kisomo cha Hitma kumuombe dua Marehemu Mzee Abeid Amani Karume katika kaburi lake liliopo Makamo Makuu ya CCM Zanzibar Kisiwandui Mjini Unguja leo[/caption] [caption id="attachment_29992" align="aligncenter" width="750"] Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi (katikati) akiomba Dua mara baada ya uwekaji wa Mashada ya Mauwa uliofanywa na Viongozi wa Kitaifa baada ya kumalizika kisomo cha Hitma kumuombe dua Marehemu Mzee Abeid Amani Karume katika kaburi lake liliopo Makamo Makuu ya CCM Zanzibar Kisiwandui Mjini Unguja leo. (Picha na Ikulu)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi