Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Katibu Mkuu Wizara ya Fedha afungua Mafunzo ya Wakurugenzi na Wenyeviti wa Bodi wa Taasisi, Wakala na Mashirika ya Umma, JNICC, Jijini Dar es Salaam
Jan 29, 2020
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_50539" align="aligncenter" width="750"] Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Doto James akizungumza katika mafunzo ya Wakurungezi na Wenyeviti wa Bodi mbalimbali za Taasisi, Wakala na Mashirika ya Umma alipowasili kufungua mafunzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam, mafunzo hayo yanalenga kuimarisha utendaji kazi wa bodi hizo.[/caption] [caption id="attachment_50540" align="aligncenter" width="750"] Msajili wa Hazina, Athumani Mbutuka akizungumza katika mafunzo ya Wakurungezi na Wenyeviti wa Bodi mbalimbali za Taasisi, Wakala na Mashirika ya Umma yaliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam, mafunzo hayo yanalenga kuimarisha utendaji kazi wa bodi hizo.[/caption] [caption id="attachment_50541" align="aligncenter" width="750"] Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Doto James, akiwa katika picha ya pamoja na Bodi ya Wakurugenzi ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), mara baada ya kufungua mafunzo ya Wakurungezi na Wenyeviti wa Bodi mbalimbali za Taasisi, Wakala na Mashirika ya Umma yaliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam, mafunzo hayo yanalenga kuimarisha utendaji kazi wa bodi hizo.[/caption] [caption id="attachment_50542" align="aligncenter" width="750"] Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Doto James, akiwa katika picha ya pamoja na Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) mara baada ya kufungua mafunzo ya Wakurungezi na Wenyeviti wa Bodi mbalimbali za Taasisi, Wakala na Mashirika ya Umma yaliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam, mafunzo hayo yanalenga kuimarisha utendaji kazi wa bodi hizo.[/caption] [caption id="attachment_50543" align="aligncenter" width="750"] Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Doto James, akiwa katika picha ya pamoja na Bodi ya Wakurugenzi ya Kampuni ya Ranchi za Taifa (NARCO) mara baada ya kufungua mafunzo ya Wakurungezi na Wenyeviti wa Bodi mbalimbali za Taasisi, Wakala na Mashirika ya Umma yaliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam, mafunzo hayo yanalenga kuimarisha utendaji kazi wa bodi hizo.[/caption] [caption id="attachment_50544" align="aligncenter" width="750"] Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Doto James akiwa katika picha ya pamoja na Msajili wa Hazina mara baada ya mara baada ya kufungua mafunzo ya Wakurungezi na Wenyeviti wa Bodi mbalimbali za Taasisi, Wakala na Mashirika ya Umma yaliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam, mafunzo hayo yanalenga kuimarisha utendaji kazi wa bodi hizo.[/caption] [caption id="attachment_50545" align="aligncenter" width="750"] Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Doto James, akiwa katika picha ya pamoja na Bodi ya Wakurugenzi ya Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) mara baada ya kufungua mafunzo ya Wakurungezi na Wenyeviti wa Bodi mbalimbali za Taasisi, Wakala na Mashirika ya Umma yaliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam, mafunzo hayo yanalenga kuimarisha utendaji kazi wa bodi hizo.[/caption] [caption id="attachment_50546" align="aligncenter" width="750"] Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Doto James, akiwa katika picha ya pamoja na Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Madini la Taifa (STAMICO), mara baada ya kufungua mafunzo ya Wakurungezi na Wenyeviti wa Bodi mbalimbali za Taasisi, Wakala na Mashirika ya Umma yaliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam, mafunzo hayo yanalenga kuimarisha utendaji kazi wa bodi hizo.[/caption] [caption id="attachment_50547" align="aligncenter" width="750"] Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Doto James, akiwa katika picha ya pamoja na Menejimenti ya Ofisi ya Msajili wa Hazina, mara baada ya kufungua mafunzo ya Wakurungezi na Wenyeviti wa Bodi mbalimbali za Taasisi, Wakala na Mashirika ya Umma yaliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam, mafunzo hayo yanalenga kuimarisha utendaji kazi wa bodi hizo.[/caption] [caption id="attachment_50548" align="aligncenter" width="750"] Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Doto James, akiwa katika picha ya pamoja na Sekritarieti ya Ofisi ya Msajili wa Hazina, mara baada ya kufungua mafunzo ya Wakurungezi na Wenyeviti wa Bodi mbalimbali za Taasisi, Wakala na Mashirika ya Umma yaliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam, mafunzo hayo yanalenga kuimarisha utendaji kazi wa bodi hizo.[/caption] [caption id="attachment_50549" align="aligncenter" width="750"] Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Doto James, akifurahia jambo na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Jaji Mstaafu Damian Lubuva, mara baada ya kufungua mafunzo ya Wakurungezi na Wenyeviti wa Bodi mbalimbali za Taasisi, Wakala na Mashirika ya Umma yaliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam, mafunzo hayo yanalenga kuimarisha utendaji kazi wa bodi hizo.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi