Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Katibu Mkuu Uchukuzi Aridhishwa na Ujenzi wa Chelezo, Meli Mpya na Ukarabati wa Meli Mpya Mwanza
Mar 30, 2020
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_51887" align="aligncenter" width="750"] Katibu Mkuu wa Sekta ya Uchukuzi, Dkt. Leonard Chamuriho, akitoa maelekezo kwa uongozi wa Kampuni ya Huduma za Meli (MSCL) wakati alipotembelea mradi wa ujenzi wa meli mpya, chelezo na Ukarabati wa Meli ya MV Victoria jijini Mwanza, Mwishoni mwa wiki. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni hiyo, Eric Hamissi.[/caption] [caption id="attachment_51888" align="aligncenter" width="750"] Katibu Mkuu wa Sekta ya Uchukuzi, Dkt. Leonard Chamuriho, akitoa maelekezo kwa Uongozi wa Kampuni ya KTMI ya Korea Kusini inayofanya ukarabati wa meli Meli ya MV Victoria jijini Mwanza, Mwishoni mwa wiki, wakati alipotembelea maendeleo ya ujenzi wake.[/caption] [caption id="attachment_51889" align="aligncenter" width="750"] Katibu Mkuu wa Sekta ya Uchukuzi, Dkt. Leonard Chamuriho, akimsikiliza Muwakilishi wa Kampuni ya KTMI ya Korea Kusini, inayojenga meli mpya katika bandari ya Mwanza South wakati akimweleza hatua iliyofikiwa ya ujenzi wa meli, wakati Katibu Mkuu huyo alipotembelea maendeleo ya ujenzi wake mwishoni mwa wiki.[/caption] [caption id="attachment_51890" align="aligncenter" width="750"] Muonekano wa Chelezo inayojengwa katika bandari ya Mwanza South ambayo ujenzi wake umefikia asilimia 96. Kukamilika kwa chelezo kutarahisisha matengenezo ya meli katika Ziwa Victoria.[/caption] [caption id="attachment_51891" align="aligncenter" width="750"] Muonekano wa meli ya MV Victoria mara baada ya ukabati mkubwa ambao mpaka sasa umefikia asilimia zaidi ya 96. Meli hiyo ina uwezo wa kubeba abiria 1,200 na mzigo wa tani 200.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi