Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Katibu Mkuu Suzan Mlawi Afungua Mkutano wa UN Women
Feb 21, 2018
Na Msemaji Mkuu

Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Suzan Mlawi akiongea wakati akifungua Mkutano wa Umoja wa Mataifa Wanawake uliofanyika jana jijini Dar es Salaam.

Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa, Alvaro Rodriguez, akiongea katika Mkutano wa Umoja wa Mataifa Wanawake uliofanyika jana jijini Dar es Salaam.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Suzan Mlawi (wa pili kulia) na Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO), Dkt. Hassan Abbasi (kulia) wakifuatilia moja ya mada zilizotolewa katika Mkutano wa Umoja wa Mataifa Wanawake uliofanyika jana jijini Dar es Slaam.

Baadhi ya washiriki wakifuatilia mada mbalimbali zilizowasilishwa katika Mkutano wa Umoja wa Mataifa Wanawake uliofanyika jana jijini Dar es Salaam.

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi