Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Katibu Mkuu Mpya Ofisi ya Waziri Mkuu Apokelewa kwa Shangwe Dodoma
Nov 09, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_22126" align="aligncenter" width="684"] Katibu Mkuu (Waziri Mkuu na Bunge) Bi. Maimuna Tarishi akisalimiana na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu) Profesa Faustine Kamuzola wakati wa kumpokea alipowasili katika ofisi yake Mjini Dodoma Novemba 9, 2017.[/caption] [caption id="attachment_22127" align="aligncenter" width="800"] Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu) Profesa Faustine Kamuzola akisalimiana na baadhi ya watumishi wa Ofisi hiyo wakati alipowasili katika ofisi yake mpya Mjini Dodoma Novemba 9, 2017.[/caption] [caption id="attachment_22128" align="aligncenter" width="669"] Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu) Profesa Faustine Kamuzola akisaini kitabu cha wageni wakati alipowasili katika ofisi yake mpya Novemba 9, 2017 Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_22129" align="aligncenter" width="800"] Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu) Profesa Faustine Kamuzola akiteta jambo na Katibu Mkuu (Waziri Mkuu na Bunge) Bi. Maimuna Tarishi mara baada ya kuwasili katika ofisi yake Mjini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_22130" align="aligncenter" width="800"] Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimaliwatu Ofisi ya Waziri Mkuu Bw.Issa Nchansi akizungumza jambo wakati wa kikao cha Wakuu wa Idara na Vitengo Ofisi hiyo walipokutana kumkaribisha Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu) Profesa Faustine Kamuzola katika ofisi yake Mjini Dodoma Novemba 9, 2017.(Picha zote na ofisi ya Waziri Mkuu - Dodoma)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi