Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Katibu Mkuu Mlawi: Ongezeni Juhudi za Kutangaza Umuhimu wa Sekta za Wizara
Nov 14, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_48879" align="aligncenter" width="1000"] Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Bibi.Susan Mlawi akizungumza uongozi wa Menejimenti ya Wizara hiyo leo Jijini Dodoma kwa ajili ya kuwaaga baada ya kufikia ukomo wa utumishi wa umma ambapo anastaafu rasmi kuanzia Novemba 15,2019 kwa mujibu wa sheria.[/caption] [caption id="attachment_48880" align="aligncenter" width="1000"] Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Bibi.Susan Mlawi (kushoto) akimkabidhi taarifa mbalimbali za majukumu ya Wizara hiyo Naibu Katibu Mkuu Dkt.Ally Possi (kulia)ambaye atakaimu kuanzia kesho mpaka atakapoteuliwa mtu wa kushika nafasi hiyo, mara baada ya kuagana na Menejimenti ya wizara hiyo leo jijini Dodoma, kufuatia kufikia ukomo wa utumishi wa umma ambapo anastaafu rasmi kuanzia Novemba 15,2019.[/caption] [caption id="attachment_48881" align="aligncenter" width="1000"] Baadhi ya watumishi wa Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo wakiwa katika picha ya pamoja na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Bibi.Susan Mlawi (mwenye gauni nyekundu) ambaye amekabidhi rasmi ofisi yake leo kwa Naibu Katibu Mkuu Dkt.Ally Possi jijini Dodoma, baada ya kufikia ukomo wa utumishi wa umma ambapo anatarajia kustaafu rasmi kuanzia Novemba 15,2019.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi