Tuvuti Kuu
Mrejesho
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO
Katibu Mkuu Luhemeja Ashiriki Mkutano wa COP29
Nov 11, 2024
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhandisi Cyprian Luhemeja (kulia) akizungumza na baadhi ya wadau mara baada ya ufunguzi rasmi wa 29 wa Nchi wa Wanachama wa Mkataba wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP29) katika ukumbi wa Nizami uliopo katika viwanja vya Olympus Park, mjini Baku Jamhuri ya Azerbaijan, uliofunguliwa leo Novemba 11, 2024 na kutarajiwa kuhitimishwa Novemba 22, 2024. Kushoto ni akiwa Mkurugenzi Msaidizi wa Mabadiliko ya Tabianchi na Tathimini Ofisi ya Makamu wa Rais, Dkt. Kanizio Manyika.
Na Mwandishi Wetu
Habari Mpya
REA Kusambaza Mitungi ya Gesi Zaidi ya 19,000 Mbeya
Nov 20, 2024
Waziri Kombo Aongoza Mkutano wa SADC Organ Troika
Nov 20, 2024
Dkt. Mwinyi Awaapisha Viongozi Aliowateua Hivi Karibuni
Nov 15, 2024
Tanzania Kuungana na Dunia Usalama wa Afya Kimataifa
Nov 13, 2024
Makamu wa Rais Ashiriki Mkutano wa Rasilimali Muhimu za Kijani za Bara la Afrika
Nov 13, 2024
Waziri Mkuu Akutana na Balozi wa Uturuki Nchini
Nov 13, 2024
Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Giza
Mwanga
Chaguo Msingi
Marekebisho ya Maandishi
Ndogo
Kawaida
Kubwa