[caption id="attachment_49080" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Katiba na Sheria Mh. Dkt Balozi Agostino Mahiga (Mb) akipanda mti katika eneo la ofisi za Wizara hiyo Mji wa Serikali Mtumba, jijini Dodoma leo.[/caption] [caption id="attachment_49081" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Katiba na Sheria Mh. Dkt Balozi Agostino Mahiga (Mb) {kushoto} akimwagilia mti baada ya kuupanda katika eneo la ofisi za Wizara hiyo Mji wa Serikali Mtumba, jijini Dodoma leo.[/caption] [caption id="attachment_49082" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Katiba na Sheria Mh. Dkt Balozi Agostino Mahiga (Mb) {kushoto} akichagua miti kabla ya kuanza zoezi la upandaji miti katika maeneo ya Wizara hiyo Mji wa Serikali Mtumba, jijini Dodoma leo.[/caption] [caption id="attachment_49083" align="aligncenter" width="750"] Watumishi wa Wizara ya Katiba na Sheria Philp Makenzi (kushoto) na Stephen Malimiru (kulia) wakipanda mti katika eneo la ofisi za Wizara hiyo Mji wa Serikali Mtumba, jijini Dodoma leo.[/caption]